Yobu 19:12 - Swahili Revised Union Version12 Majeshi yake husongea pamoja, na kunipandishia njia yao, Na kupiga kambi kuizunguka hema yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; yamenizingira, yamepiga kambi kulizunguka hema langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; yamenizingira, yamepiga kambi kulizunguka hema langu. Tazama sura |