Yobu 17:16 - Swahili Revised Union Version16 Litashuka kwenye makomeo ya kuzimu, Itakapokuwapo raha mavumbini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Tazamio langu litashuka nami kuzimu! Tutateremka sote wawili hadi huko mavumbini!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Tazamio langu litashuka nami kuzimu! Tutateremka sote wawili hadi huko mavumbini!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Tazamio langu litashuka nami kuzimu! Tutateremka sote wawili hadi huko mavumbini!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti? Je, tutashuka pamoja mavumbini?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti? Je, tutashuka pamoja mavumbini?” Tazama sura |