Yobu 15:9 - Swahili Revised Union Version9 Je! Wewe wajua neno lipi, ambalo sisi hatulijui? Nawe wafahamu nini, ambalo halimo ndani yetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? Tazama sura |