Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 13:23 - Swahili Revised Union Version

23 Maovu yangu na dhambi zangu ni ngapi? Nijulishe kosa langu na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Makosa na dhambi zangu ni ngapi? Nijulishe hatia na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Makosa na dhambi zangu ni ngapi? Nijulishe hatia na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Makosa na dhambi zangu ni ngapi? Nijulishe hatia na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? Nioneshe kosa langu na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu.

Tazama sura Nakili




Yobu 13:23
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nitamwambia Mungu, Usinihukumie makosa; Nijulishe kwa nini unapingana nami.


Hata ukaulizauliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu,


Je! Uovu wako si mkuu? Wala maovu yako hayana mwisho.


Mimi ni safi, sina makosa; Sina hatia, wala hapana uovu ndani yangu;


Nifunzeni, nami nitanyamaa kimya; Mkanijulishe ni jambo gani nililokosa.


Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.


Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo