Yobu 13:22 - Swahili Revised Union Version22 Basi uite wakati huo, nami nitaitika; Au, niache ninene mimi, nawe unijibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Uanze kutoa hoja yako nami nikujibu. Au mimi nianze, nawe unijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Uanze kutoa hoja yako nami nikujibu. Au mimi nianze, nawe unijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Uanze kutoa hoja yako nami nikujibu. Au mimi nianze, nawe unijibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Niite kwenye shauri nami nitajibu, au niache niseme, nawe upate kujibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Niite kwenye shauri nami nitajibu, au niache niseme, nawe upate kujibu. Tazama sura |