Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 13:18 - Swahili Revised Union Version

18 Angalieni sasa, nimekwisha kulitengeneza neno langu, Najua ya kuwa mimi ni mwenye haki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kesi yangu nimeiandaa vilivyo, nina hakika mimi sina hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Sasa kwa kuwa nimekwisha tayarisha kesi yangu, ninajua nitahesabiwa kuwa haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki.

Tazama sura Nakili




Yobu 13:18
17 Marejeleo ya Msalaba  

Ujapojua ya kuwa mimi si mwovu; Wala hapana awezaye kuokoa kutoka kwa mkono wako?


Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.


Sikieni sana maneno yangu, Maelezo yangu na yaingie masikioni mwenu.


Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.


Ningeiweka kesi yangu mbele yake, Na kukijaza kinywa changu hoja.


Haki yangu naishika sana, wala sitaiacha; Moyo wangu hautanisuta wakati nikiwapo hai.


Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe.


Mimi ni safi, sina makosa; Sina hatia, wala hapana uovu ndani yangu;


Kwani Ayubu amesema, Mimi ni mwenye haki, Naye Mungu ameniondolea haki yangu;


Rudini, nawasihi, lisiwe neno la udhalimu; Naam, rudini tena, neno langu ni la haki.


Ingawa mimi ni mwenye haki, kinywa changu mwenyewe kitanihukumu; Ingawa mimi ni mkamilifu, kitanishuhudia kuwa mimi ni mpotovu.


Mimi ni mkamilifu; siangalii nafsi yangu; Naudharau uhai wangu.


Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.


Kwa maana kujisifu kwetu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu; tulienenda katika dunia, na hasa kwenu ninyi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo