Yeremia 48:16 - Swahili Revised Union Version16 Msiba wa Moabu umefika karibu, Na mateso yake wanamjia haraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Kuanguka kwa Moabu kumekaribia, janga kubwa litamjia kwa haraka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Kuanguka kwa Moabu kumekaribia, janga kubwa litamjia kwa haraka. Tazama sura |