Yeremia 39:8 - Swahili Revised Union Version8 Nao Wakaldayo wakaiteketeza nyumba ya mfalme, na nyumba za watu kwa moto, wakazibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Jeshi la Wakaldayo likachoma moto jumba la kifalme na nyumba za watu, na kuzibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Jeshi la Wakaldayo likachoma moto jumba la kifalme na nyumba za watu, na kuzibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama sura |