Yeremia 36:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi, Baruku, mwana wa Neria, akafanya sawasawa na hayo yote, ambayo Yeremia, nabii, amemwagiza, akisoma katika kitabu hicho, maneno ya BWANA, ndani ya nyumba ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Baruku mwana wa Neria akafanya kila kitu nabii Yeremia alichomwambia kufanya. Alisoma maneno ya Mwenyezi Mungu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu kutoka kile kitabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Baruku mwana wa Neria akafanya kila kitu nabii Yeremia alichomwambia kufanya. Alisoma maneno ya bwana katika Hekalu la bwana kutoka kile kitabu. Tazama sura |