Yeremia 22:12 - Swahili Revised Union Version12 bali katika mahali pale walipomchukua mateka ndipo atakapokufa, wala hataiona nchi hii tena kamwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.” Tazama sura |