Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 18:19 - Swahili Revised Union Version

19 Niangalie, Ee BWANA, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Nisikilize, Ee Mwenyezi Mungu, sikia wanayosema washtaki wangu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Nisikilize, Ee bwana, sikia wanayosema washtaki wangu!

Tazama sura Nakili




Yeremia 18:19
14 Marejeleo ya Msalaba  

Tega sikio lako, Ee BWANA, usikie; fumbua macho yako, Ee BWANA, uone; uyasikie maneno ya Senakeribu, ambayo amemtuma mtu aje nayo ili kumtukana Mungu aliye hai.


Kwani hao wote walitaka kutuogofya, wakisema, Kwa kuwa mikono yao italegea katika kazi, kazi isifanyike. Lakini sasa Ee Mungu, itie nguvu mikono yangu.


Waache walaani, bali Wewe utabariki, Wanaonishambulia na waaibishwe, Naye mtumishi wako afurahi.


Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa niliwaombea.


Hapo ndipo waliposema, Njooni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njooni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.


Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili niseme mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.


Lakini, Ee BWANA wa majeshi, wewe wawajaribu wenye haki, waona fikira na mioyo, nijalie kuona kisasi chako juu yao; kwa maana nimekufunulia wewe neno langu.


Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee BWANA; Unihukumie neno langu.


Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo