Waamuzi 9:40 - Swahili Revised Union Version40 Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akakimbia mbele yake, wengi walijeruhiwa na kuanguka hadi kufikia maingilio ya lango la mji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Gaali akashindwa na kukimbia, huku anafuatiwa na Abimeleki. Watu wengi walijeruhiwa na kuanguka njiani hadi kwenye lango la mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Abimeleki akamfukuza, naye akatoroka. Nao watu wengi wakaanguka njia yote hadi kwenye ingilio la lango, wakiwa wamejeruhiwa katika kule kutoroka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Abimeleki akamfukuza, watu wengi wakajeruhiwa katika kukimbia huko, njia nzima hadi kwenye ingilio la lango. Tazama sura |