Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 3:29 - Swahili Revised Union Version

29 Wakati huo wakawaua Wamoabi wapatao wanaume elfu kumi, ambao wote walikuwa wenye nguvu na mashujaa, hakunusurika hata mtu mmoja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Siku hiyo, wakawaua Wamoabu wapatao 10,000; watu wote wenye afya na nguvu, wala hakuna hata mmoja aliyenusurika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Siku hiyo, wakawaua Wamoabu wapatao 10,000; watu wote wenye afya na nguvu, wala hakuna hata mmoja aliyenusurika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Siku hiyo, wakawaua Wamoabu wapatao 10,000; watu wote wenye afya na nguvu, wala hakuna hata mmoja aliyenusurika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Wakati huo wakawaua Wamoabu wapatao elfu kumi wenye nguvu na mashujaa; hakuna yeyote aliyetoroka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Wakati huo wakawaua Wamoabu watu waume wapatao 10,000 ambao wote walikuwa wenye nguvu na mashujaa; hakuna mtu yeyote aliyetoroka.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 3:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa amefunika uso wake na mafuta yake, Na kuwandisha mafuta kiunoni mwake;


Wamejawa na ukaidi, Kwa vinywa vyao wanajigamba.


Nikawaamuru wakati huo, nikawaambia, BWANA, Mungu wenu, amewapa ninyi nchi hii muimiliki, basi vukeni ng'ambo wenye silaha mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, nyote mlio mashujaa.


Lakini Yeshuruni alinenepa, akapiga teke; Umenenepa, umekuwa mnene, umewanda; Ndipo akamwacha Mungu aliyemfanya, Akamdharau Mwamba wa wokovu wake.


Kisha akamsogezea Egloni, mfalme wa Moabu, hiyo tunu; basi Egloni alikuwa ni mtu aliyenenepa sana.


Akawaambia, Nifuateni; kwa kuwa BWANA amewatia adui zenu, Wamoabi, mikononi mwenu. Basi wakateremka na kumfuata, wakavishika vivuko vya Yordani kinyume cha Wamoabi, wala hawakumwacha mtu kuvuka.


Basi Moabu alishindwa siku hiyo chini ya mikono ya Israeli. Nayo nchi ikawa na amani muda wa miaka themanini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo