Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 3:17 - Swahili Revised Union Version

17 Kisha akamsogezea Egloni, mfalme wa Moabu, hiyo tunu; basi Egloni alikuwa ni mtu aliyenenepa sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kisha akampelekea Egloni zile zawadi. Egloni alikuwa mtu mnene sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kisha akampelekea Egloni zile zawadi. Egloni alikuwa mtu mnene sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kisha akampelekea Egloni zile zawadi. Egloni alikuwa mtu mnene sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Akamkabidhi ushuru Egloni mfalme wa Moabu, aliyekuwa mtu mnene sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Akamkabidhi ushuru Egloni mfalme wa Moabu, ambaye alikuwa mtu mnene sana.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 3:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa amefunika uso wake na mafuta yake, Na kuwandisha mafuta kiunoni mwake;


Namna gani wameangamizwa punde! Wakafutiliwa mbali kwa vitisho.


Macho yao hutokeza kwa kunenepa, Wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao.


Wamenenepa sana, wang'aa; naam, wamepita kiasi kwa matendo maovu; hawatetei madai ya yatima, ili wapate kufanikiwa; wala hawaamui haki ya mhitaji.


Kwa sababu mnafurahi, kwa sababu mnashangilia, enyi mnaouteka urithi wangu, kwa sababu mmenona kama mtamba akanyagaye nafaka, nanyi mnalia kama farasi wenye nguvu;


Kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU awaambia hivi; Tazama, mimi, naam, mimi, nitahukumu kati ya wanyama walionona na wanyama waliokonda.


Ehudi alijifanyia upanga uliokuwa na makali kuwili, urefu wake ulipata dhiraa moja; akaufunga huo upanga ndani ya nguo yake katika paja lake la mkono wa kulia.


Naye hapo alipomaliza kuitoa hiyo tunu, akawapa ruhusa watu hao walioichukua tunu, wakaenda zao.


Wakati huo wakawaua Wamoabi wapatao wanaume elfu kumi, ambao wote walikuwa wenye nguvu na mashujaa, hakunusurika hata mtu mmoja.


Kwa nini basi mnaipiga teke dhabihu yangu na sadaka yangu nilizoziamuru katika maskani yangu; ukawaheshimu wanao kuliko mimi, mpate kujinenepesha kwa sadaka zote za watu wangu Israeli zilizo njema?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo