Waamuzi 14:11 - Swahili Revised Union Version11 Basi ikawa hapo watu walipomwona, wakamletea wenziwe thelathini, wawe pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Watu walipomwona, wakaleta vijana wenzake thelathini ili kuwa pamoja naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Watu walipomwona, wakaleta vijana wenzake thelathini ili kuwa pamoja naye. Tazama sura |