Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 1:34 - Swahili Revised Union Version

34 Kisha Waamori waliwasukumiza wana wa Dani waende milimani; kwani hawakuwakubali kuteremkia bondeni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Waamori wakawazuilia Wadani kwenye nchi ya vilima, na hawakuwaacha washuke kuingia kwenye sehemu tambarare.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Waamori wakawazuilia Wadani kwenye nchi ya vilima, kwa maana hawakuwaacha washuke kuingia kwenye sehemu tambarare.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 1:34
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mpaka wa wana wa Dani ulitokea kuwapita wao; kwa kuwa hao wana wa Dani wakakwea na kupigana na Leshemu, na kuutwaa, na kuupiga kwa makali ya upanga, na kuumiliki, nao wakakaa humo, wakauita Dani, kwa kuliandama jina la huyo Dani mzee wao.


Naftali naye hakuwatoa wenyeji wa Beth-shemeshi, wala hao waliokaa Bethanathi; lakini alikaa kati ya Wakanaani, hao wenyeji wa nchi; pamoja na haya, hao wenyeji wa Beth-shemeshi, na wenyeji wa Bethi-anathi, wakawatumikia kazi ya shokoa.


lakini hao Waamori waliendelea kukaa katika kilima cha Heresi, na katika Aiyaloni, na katika Shaalbimu; pamoja na haya mkono wa hiyo nyumba ya Yusufu ulishinda, hata wakawalazimisha shokoa.


Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; tena katika siku hizo kabila la Wadani wakajitafutia urithi wapate mahali pa kukaa; maana hawakuwa wamepata urithi wao kati ya makabila ya Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo