Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 29:23 - Swahili Revised Union Version

23 Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake, akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 29:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye shambani kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.


Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.


Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.


Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?


Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo