Mwanzo 29:22 - Swahili Revised Union Version22 Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, Labani akaandaa karamu na kuwaalika watu wote wa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu. Tazama sura |