Mwanzo 25:25 - Swahili Revised Union Version25 Wa kwanza akatoka, naye alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Wa kwanza alikuwa mwekundu, mwenye nywele mwili wote; hivyo wakamwita Esau. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Wa kwanza alikuwa mwekundu, mwenye nywele mwili wote; hivyo wakamwita Esau. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Wa kwanza alikuwa mwekundu, mwenye nywele mwili wote; hivyo wakamwita Esau. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, na mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina Esau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina lake Esau. Tazama sura |