Mwanzo 25:24 - Swahili Revised Union Version24 Siku zake za kuzaa zilipotimia, tazama! Mapacha walikuwamo tumboni mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Siku zake za kujifungua zilipotimia, Rebeka alijifungua mapacha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Siku zake za kujifungua zilipotimia, Rebeka alijifungua mapacha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Siku zake za kujifungua zilipotimia, Rebeka alijifungua mapacha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake. Tazama sura |