Methali 31:14 - Swahili Revised Union Version14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Yeye ni kama meli za biashara: Huleta chakula chake kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Yeye ni kama meli za biashara: Huleta chakula chake kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Yeye ni kama meli za biashara: huleta chakula chake kutoka mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Yeye ni kama meli za biashara, akileta chakula chake kutoka mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. Tazama sura |