Kutoka 37:4 - Swahili Revised Union Version4 Akafanya na miti ya kulichukulia, ya mti wa mshita akaifunika dhahabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Alitengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Alitengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Alitengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kisha akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kisha akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. Tazama sura |