Kutoka 26:13 - Swahili Revised Union Version13 Na hiyo dhiraa moja upande mmoja, na ile dhiraa moja upande wa pili, ya urefu wa mapazia ya hema uliosalia, zitaanguka katika ubavu wa maskani upande huu na upande huu, ili kuifunika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ininginie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ininginie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ining'inie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaning’inia pande zote za Maskani ili kuifunika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaning’inia pande zote za Hema ili kuifunika. Tazama sura |