Kutoka 15:6 - Swahili Revised Union Version6 BWANA, mkono wako wa kulia umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kulia wawasetaseta adui. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mkono wako wa kuume, Ee Mwenyezi Mungu ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee Mwenyezi Mungu, ukamponda adui. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Mkono wako wa kuume, Ee bwana ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee bwana, ukamponda adui. Tazama sura |