Isaya 28:29 - Swahili Revised Union Version29 Hayo nayo yatoka kwa BWANA wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Mipango yake Mungu ni ya ajabu, hekima yake ni kamilifu kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Haya yote pia hutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Haya yote pia hutoka kwa bwana Mwenye Nguvu Zote, mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima. Tazama sura |