Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 33:31 - Swahili Revised Union Version

31 Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapiga kambi Bene-yaakani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yaakani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani.

Tazama sura Nakili




Hesabu 33:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ni wana wa Eseri, Bilhani, na Zaawani, na Akani.


Basi hawa ndio wafalme waliotawala katika nchi ya Edomu, kabla hajatawala mfalme yeyote juu ya wana wa Israeli; Bela, mwana wa Beori; na jina la mji wake ni Dinhaba.


Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapiga kambi Moserothi.


Wakasafiri kutoka Bene-yaakani, wakapiga kambi Hor-hagidgadi.


(Wana wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya Bene-yaakani kwenda Mosera; Haruni akafa huko, akazikwa huko; na Eleazari mwanawe akahudumu kama kuhani badala yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo