Hesabu 31:32 - Swahili Revised Union Version32 Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: kondoo 675,000, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, Tazama sura |