Hesabu 29:23 - Swahili Revised Union Version23 Tena siku ya nne mtasongeza ng'ombe dume kumi, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari kumi na wanne; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 “Siku ya nne mtatoa: Fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 “Siku ya nne mtatoa: Fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 “Siku ya nne mtatoa: fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “ ‘Katika siku ya nne, andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “ ‘Katika siku ya nne andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. Tazama sura |