Ezekieli 8:4 - Swahili Revised Union Version4 Na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo, sawasawa na maono yale niliyoyaona katika bonde. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Tazama! Palikuwa na utukufu wa Mungu wa Israeli, kama utukufu ule niliouona katika maono kule kwenye nchi tambarare. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hapo mbele yangu palikuwa na utukufu wa Mungu wa Israeli, kama utukufu ule niliouona katika maono kule ua wa ndani. Tazama sura |