Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wafalme 9:29 - Swahili Revised Union Version

29 Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 (Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala katika Yuda.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 (Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala katika Yuda.)

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 9:29
5 Marejeleo ya Msalaba  

Katika mwaka wa tano wa Yoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli, [Yehoshafati alipokuwa mfalme wa Yuda], alianza kutawala Yehoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda.

Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo