2 Wafalme 24:19 - Swahili Revised Union Version19 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Yehoyakimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama vile alivyofanya mfalme Yehoyakimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama vile alivyofanya mfalme Yehoyakimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama vile alivyofanya mfalme Yehoyakimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Alifanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama alivyofanya Yehoyakimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Alifanya maovu machoni pa bwana, kama alivyofanya Yehoyakimu. Tazama sura |