2 Wafalme 19:13 - Swahili Revised Union Version13 Yuko wapi mfalme wa Hamathi, na mfalme wa Arpadi, na mfalme wa mji wa Sefarvaimu, na wa Hena, na wa Iva? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Wako wapi wafalme wa Hamathi, Arpadi, Sefarvaimu, Hena na wa Iva?’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Wako wapi wafalme wa Hamathi, Arpadi, Sefarvaimu, Hena na wa Iva?’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Wako wapi wafalme wa Hamathi, Arpadi, Sefarvaimu, Hena na wa Iva?’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Yuko wapi mfalme wa Hamathi, mfalme wa Arpadi, mfalme wa mji wa Sefarvaimu, au wa Hena au wa Iva?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Yuko wapi mfalme wa Hamathi, mfalme wa Arpadi, mfalme wa mji wa Sefarvaimu, au wa Hena au wa Iva?” Tazama sura |