Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 7:37 - Swahili Revised Union Version

37 Hivyo akavifanya vile vitako kumi; vyote vilikuwa vya kalibu moja, na cheo kimoja, na namna moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Hivi ndivyo Hiramu alivyotengeneza vile vitako kumi. Vyote vilisubiwa kwenye kalibu moja na vilifanana kwa vipimo na kwa umbo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Hivi ndivyo Hiramu alivyotengeneza vile vitako kumi. Vyote vilikuwa vya kusubu kwenye kalibu za kufanana kwa vipimo na kwa umbo.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 7:37
2 Marejeleo ya Msalaba  

Akachora juu ya mabamba ya mashikio yake, na juu ya papi zake, makerubi, na simba, na mitende, moja moja kama ilivyokuwa nafasi, na masongo pande zote.


Akatengeneza vitako, akatengeneza na mabeseni juu ya vitako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo