1 Wafalme 22:45 - Swahili Revised Union Version45 Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, na uthabiti alioufanya, na jinsi alivyopiga vita, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, mafanikio aliyokuwa nayo na uhodari wake katika vita, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Kwa habari ya matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, mafanikio aliyokuwa nayo na uhodari wake katika vita, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? Tazama sura |