1 Wafalme 22:33 - Swahili Revised Union Version33 Ikawa, wakuu wa magari walipoona ya kuwa siye mfalme wa Israeli, wakageuka nyuma wasimfuate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 wale majemadari wakaona kwamba hakuwa mfalme wa Israeli, wakaacha kumfuatilia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 wale majemadari wakaona kwamba hakuwa mfalme wa Israeli, nao wakaacha kumfuatilia. Tazama sura |