Zekaria 9:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na mwana wa haramu atatawala huko Ashdodi, nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mji wa Ashdodi utakaliwa na machotara. Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Kiburi cha Filistia nitakikomesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mji wa Ashdodi utakaliwa na machotara. Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Kiburi cha Filistia nitakikomesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mji wa Ashdodi utakaliwa na machotara. Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Kiburi cha Filistia nitakikomesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wageni watakalia mji wa Ashdodi, nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wageni watakalia mji wa Ashdodi, nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. Tazama sura |