Zekaria 9:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na BWANA, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo, Kama kundi la watu wake; Kwa maana watakuwa kama vito vya taji, Vikimetameta juu ya nchi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, atawaokoa, maana wao ni kundi lake; nao watang'aa katika nchi yake kama mawe ya thamani katika taji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, atawaokoa, maana wao ni kundi lake; nao watang'aa katika nchi yake kama mawe ya thamani katika taji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, atawaokoa, maana wao ni kundi lake; nao watang'aa katika nchi yake kama mawe ya thamani katika taji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwenyezi Mungu, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo kama kundi la watu wake. Watang’ara katika nchi yake kama vito vya thamani kwenye taji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 bwana Mwenyezi Mungu wao atawaokoa siku hiyo kama kundi la watu wake. Watang’aa katika nchi yake kama vito vya thamani kwenye taji. Tazama sura |