Zekaria 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Naye BWANA ataonekana juu yao, Na mshale wake utatoka kama umeme; Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta, Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mwenyezi-Mungu atawatokea watu wake; atafyatua mishale yake kama umeme. Bwana Mwenyezi-Mungu atapiga tarumbeta; atafika pamoja na kimbunga cha kusini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha Mwenyezi Mungu atawatokea; mshale wake utamulika kama radi. Bwana Mungu Mwenyezi atapiga tarumbeta, naye atatembea katika tufani za kusini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha bwana atawatokea; mshale wake utamulika kama umeme wa radi. bwana Mwenyezi atapiga tarumbeta, naye atatembea katika tufani za kusini, Tazama sura |