Zekaria 7:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Amueni kwa haki, muwe na upole na huruma nyinyi kwa nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Amueni kwa haki, muwe na upole na huruma nyinyi kwa nyinyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Amueni kwa haki, muwe na upole na huruma nyinyi kwa nyinyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: ‘Fanyeni hukumu za haki, onesheni rehema na huruma ninyi kwa ninyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Hivi ndivyo asemavyo bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Fanyeni hukumu za haki, onyesheni rehema na huruma ninyi kwa ninyi. Tazama sura |