Zekaria 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 naam, pokea fedha na dhahabu, ukatengeneze taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uliweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uiweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki. Tazama sura |