Zekaria 5:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la kitabu lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yule malaika akaniuliza, “Unaona nini?” Nami nikamjibu, “Ninaona kitabu kinaruka angani; urefu wake ni mita tisa na upana wake ni mita nne na nusu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka, chenye urefu wa dhiraa ishirini, na upana wa dhiraa kumi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini na upana wa dhiraa kumi.” Tazama sura |