Zekaria 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.” Tazama sura |