Zekaria 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Haya! Haya! Ikimbieni nchi ya kaskazini, asema BWANA; kwa maana mimi nimewatawanya ninyi kama pepo nne za mbinguni, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Haya! Kimbieni kutoka nchi ya kaskazini ambako mimi nilikuwa nimewatawanya kila upande. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Haya! Kimbieni kutoka nchi ya kaskazini ambako mimi nilikuwa nimewatawanya kila upande. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Haya! Kimbieni kutoka nchi ya kaskazini ambako mimi nilikuwa nimewatawanya kila upande. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema Mwenyezi Mungu, “kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema bwana, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema bwana. Tazama sura |