Zekaria 2:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kwa maana mimi, asema BWANA, nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka pande zote, nami nitakuwa huo utukufu ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu asema kuwa yeye mwenyewe atakuwa ukuta wa moto kuulinda mji huo pande zote, naye atakaa humo kwa utukufu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu asema kuwa yeye mwenyewe atakuwa ukuta wa moto kuulinda mji huo pande zote, naye atakaa humo kwa utukufu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu asema kuwa yeye mwenyewe atakuwa ukuta wa moto kuulinda mji huo pande zote, naye atakaa humo kwa utukufu wake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema bwana, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’ Tazama sura |