Zekaria 2:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Na tazama, yule malaika aliyesema nami akasimama karibu, na malaika mwingine akatoka ili kuonana naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye Tazama sura |