Zekaria 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na BWANA atairithi Yuda, iwe sehemu yake katika nchi takatifu, naye atachagua Yerusalemu tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Watu wa Yuda watakuwa tena mali ya pekee ya Mwenyezi-Mungu katika nchi takatifu, na mji wa Yerusalemu utakuwa tena mji wake aliouchagua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Watu wa Yuda watakuwa tena mali ya pekee ya Mwenyezi-Mungu katika nchi takatifu, na mji wa Yerusalemu utakuwa tena mji wake aliouchagua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Watu wa Yuda watakuwa tena mali ya pekee ya Mwenyezi-Mungu katika nchi takatifu, na mji wa Yerusalemu utakuwa tena mji wake aliouchagua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu atairithi Yuda kama fungu lake katika nchi takatifu na atachagua tena Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana atairithi Yuda kama fungu lake katika nchi takatifu na atachagua tena Yerusalemu. Tazama sura |