Zekaria 14:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Naye BWANA atakuwa Mfalme wa nchi yote; siku hiyo BWANA atakuwa mmoja, na jina lake moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu atakuwa ndiye mfalme pekee wa dunia yote; naye atakuwa ndiye Mwenyezi-Mungu pekee, mmoja tu, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu atakuwa ndiye mfalme pekee wa dunia yote; naye atakuwa ndiye Mwenyezi-Mungu pekee, mmoja tu, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu atakuwa ndiye mfalme pekee wa dunia yote; naye atakuwa ndiye Mwenyezi-Mungu pekee, mmoja tu, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mwenyezi Mungu atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwa Mwenyezi Mungu mmoja, na jina lake litakuwa jina pekee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 bwana atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo bwana mmoja na jina lake litakuwa jina pekee. Tazama sura |