Zekaria 14:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Hapo ndipo atakapotokea BWANA, naye atapigana na mataifa hayo, kama anavyopigana siku ya vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha Mwenyezi Mungu atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha bwana atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita. Tazama sura |