Zekaria 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 ambalo wenye kundi hilo huwachinja, kisha hujiona kuwa hawana hatia; na hao wawauzao husema, Na ahimidiwe BWANA, kwa maana mimi ni tajiri; na wachungaji wao wenyewe hawawahurumii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wanunuzi wao wanawachinja lakini hawaadhibiwi; na wauzaji wao wanasema, ‘Na ashukuriwe Mwenyezi-Mungu! Sasa tumetajirika’. Hata wachungaji wenyewe hawawaonei huruma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘bwana asifiwe, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii. Tazama sura |