Zekaria 11:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ifungue milango yako, Ee Lebanoni, Ili moto uiteketeze mierezi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! Tazama sura |
Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kulia na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.